Twitter
Facebook
Google
Youtube
Rss

Misaada na Michango , Leta mabadiliko.

" Ukichukua hatua moja kumuelekea Allah, Yeye huchukua hatua 70 kukuelea wewe."

(Hadith-el-Qudsi)

Hapa ndipo unapoweza kuleta mabadiliko . Michango inayotolewa katika Idhaa za Hadi TV  hutumika  kwa ajili ya miradi inayoendelea, hivyo kuwaridhisha wafadhili, kwani fedha hizi haziwekwi ili kutumika baadaye bali hutumika katika miradi mizuri zaidi inayoendelea kwa sasa. kiwango utakacho kitoa hakijalishi, jambo muhimu ni kwamba wewe u tayari kuleta mabadiliko.  Ipe uhai mali yako kwa kuchangia katika njia ya Uislamu. Jiunge na dhamira yetu. Tusaidie kukuza uislamu wa kweli kwa pamoja, changia ili kusaidia vizazi vyetu vijavyo.

Uhamisho wa kimataifa
 
 
Donate
 
 
Haki Zote Zimehifadhiwa.
www.haditv.com | Powerd by : Dijlah